Mwandishi wa Habari wa ITV na Redio One Khalfan Liundi (Mwenye
shati jeupe) akitoka katika kituo cha Polisi cha Usariver Mara baada ya
kupata dhamana,alikamatwa kufuatia amri ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru
Alexender Mnyiti kwa kutuhumiwa kuandika habari za uchochezi picha na
mahmoud ahmad waglobu ya jamii arusha.

0 Comments