Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na
Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp walipokutana kwa
mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 20176
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
katika picha ya kumbukumbu na Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yasemin
Eralp walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Desemba 23, 20176.
Wengine kutoka kushoto ni Balozi zuhura
Bundala, Balozi Joseph Sokoine na Bw. Hassan Mwamweta wa Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa.
PICHA NA IKULU



0 Comments