Jeneeza lenye Mwili wa Marehemu Brigedia
Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki
Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ
Lugalo Dar es Salaam,ukibebwa na askari kupelekwa sehemu maalum
ambapo utaagwa rasmi leo kabla kupelekwa kijijini kwao kwa mazishi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na W
aziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.
Hussein Ali Mwinyi (kushoto)
na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange
(kulia) wakati Rais alipofika leo katika Hospitali ya Jeshi la Wananchi
JWTZ Lugalo Dar es Salaam kwa ajili ya kuuaga mwili wa Marehemu Brigedia
Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki
Zanzibar,aliyefariki juzi hospitalini hapo baada ya kuugua kwa muda
mfupi,[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki, aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,ambae alifariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo JIjini Dar es Salaam,baada ya kuugua kwa muda mfupi na kuagwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein
(katikati) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Ali Mwinyi
(kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis
Mwamunyange (kulia) wakiwa katika Kambi ya Jeshi la Wananchi Lugalo Dar es
Salaam leo kuuaga mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua
Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi
la Wananchi JWTZ Lugalo, baada ya kuugua kwa muda mfupi
Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ waliofika leo katika hafla ya kuuaga Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki
juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo, baada ya kuugua
kwa muda mfupi,ambapo utaagwa leo katika Hospitali Lugalo Dar es Salaam
Wananchi mbali mbali na jamaa waliofika leo kuuagawa Mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mfupi
Mawaziri
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi pamoja na Wazee wa Chama
leo walijumuika na Maaskari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika
kuuaga Mwili wa
Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki
aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mfupi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa heshima ya mwisho leo kwa
mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mfupi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa mkono wa pole kwa wanafamilia wa Marehemu Brigedia Jenerali Cyril Ivor Mhaiki aliyekua Kamanda wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar,aliyefariki juzi katika hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo Dar es Salaam, baada ya kuugua kwa muda mfupi,
baada ya kutoa
heshima ya mwisho leo,kwa
mwili wa
Marehemu,









0 Comments