Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin
Humoud Al Habsi, alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi
Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi
zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, alipofika Ikulu Mjini
Unguja leo kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi
Mdogo wa Oman katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi
zake Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi, baada ya mazungumzo yao
alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha
No comments:
Post a Comment