Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia wananchi waliojitokeza katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa
Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia wananchi waliohudhuria sherehe
za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam mara baada ya kuwasili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ulipokuwa ukipigwa uwanjani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua gwaride katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Vikosi
mbalimbali vya Majeshi vikipita mbele ya mgeni Rasmi kwa mwendo wa pole na
Haraka katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam.
Kikosi
cha Maadhimisho cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania kikionesha gwaride la
kimyakimya mbele ya Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Uhuru.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mama Fatma Karume mara baada ya kumaliza kuhutubia katika uwanja wa
Uhuru.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na wananchi katika uwanja wa Uhuru mara baada ya kumalizika kwa
sherehe hizo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembea
pamoja na Askari Polisi ambao huongoza misafara ya
viongozi VIP riders mara baada ya
kuwasili Ikulu wakati wakitokea katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada
ya Kuwasili katika uwanja wa Uhuru.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya
kuwasili.
PICHA NA IKULU
0 Comments