Random Posts

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI, KAMISHNA WA MAADILI NA MAJAJI WANNE WAPYA WA MAHAKAMA YA RUFANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Rehema Kiwanga Mkuye  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016,

 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sahihi hari ya kiapo baada ya kumuapisha Jaji Rehema Kiwanga Mkuye  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Sivangilwe Sikalalilwa Mwangosi  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Jackobs Mwambegele  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimwapongeza baada ya kuwaapisha kuwa Majaji  wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wageni waalikwa baada ya kuwaapisha Majaji  wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Angellah Kairuki, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,  Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju katika picha ya pamoja na Majaji  wapya wanne wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016

PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments