Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili mkoani humo.
Pia Rais Dkt. Magufuli anatarajiwa kushiriki katika Ibada ya Krismasi mkoani
humo hapo Kesho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha
Wageni mara baada ya kuwasili mkoani Singida na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa
Singida Dkt. Rehema Nchimbi.
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akielezea ujio wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mkoani humo ambapo pamoja na
mambo mengine atashiriki katika Ibada ya Siku ya Krismasi katika Kanisa
mojawapo mkoani Singida.
PICHA NA IKULU




0 Comments