Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake
Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Misa ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo
Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo
Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara
baada ya kushiriki Misa ya Krismasi katika kanisa hilo mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya
kushiriki Misa ya Krismasi katika kanisa hilo mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimshukuru Baba Askofu wa Jimbo la Singida Askofu Edward
Mapunda mara baada ya Ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo
Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Baba Askofu wa Jimbo la Singida Askofu Edward Mapunda mara baada ya Ibada ya
Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu
wa Yesu mkoani Singida.
Baba
Askofu wa Jimbo la Singida Askofu Edward Mapunda akimuombea na kumbariki Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Ibada
ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu
wa Yesu mkoani Singida.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakisalimiana na waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya ibada ya
Krismasi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipunga mkono wakati
wakitoka kwenye Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu
wa Yesu mkoani Singida.
PICHA NA
IKULU












0 Comments