Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Kamishana wa Kikoso cha Zima
Moto Zanzibar Abdalla Malimosi wakati alipokuwa akiaangalia picha za
magari mapya ya kikosi hicho yanayotarajiwa kuwasili hivi
karibuni,wakati alipotembelea ujenzi wa majengo mapya ya kikkosi hicho
leo huko katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Wilaya ya Magharibi "A"Unguja,[Picha na Ikulu.] 04/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar na Uongozi wa Kikosi cha Zima Moto na Uokozi, wakati alipofika kutembelea ujenzi wa majengo mapya ya kikosi hicho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa
Bodi ya Mamlaka ya Viwanja wa Ndege Zanzibar Abdulghani Himid Msoma
wakati alipowasili katika Ofisi za Mamlaka hiyo akiwa katika ziara ya
kutembelea majengo mapya ya kikosi Zima Moto na Uokozi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume huko Kisauni Wilaya ya Magharibi "A"Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi Mamlaka ya Viwanja wa Ndege Zanzibar na Uongozi wa Zima Moto na Uokozi mara alipowasili katika Ofisi za Mamlaka hiyo akiwa katika ziara ya kutembelea majengo mapya ya kikosi Zima Moto na Uokozi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume huko Kisauni Wilaya ya Magharibi "A"Unguja
Muonekano wa jengo baada ya kumalizika katika hatua za Ujenzi wake Kikosi cha Zimamoto na Uokozi itakuwa ni Ofisi ya Kikosi hicho, mbapo leo Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alitembelea kuangalia ujenzi unaoendelea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kushoto) akiangalia baadhi ya Vyumba vya Ofisi mpya ya Kikosi cha Zimamoto na Uokozi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume huko
Kisauni Wilaya ya Magharibi "A"Unguja leo,(wa pili kulia)Kamishna wa
Kikosi hicho Abdalla Malimosi na SACF Simai Haji Simai (katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiangalia Njia za kupitishia Umeme katika jengo jipya
la Kikosi cha Zimamoto na Uokozi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume huko Kisauni Wilaya ya Magharibi "A"Unguja alipotembelea leo alipofanya ziara maalum,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Kikosi
cha Zimamoto na Uokozi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume alipotembelea kituo kidogo kinachofayiwa matengenezo akiwa
katika ziara maalum leo,(kushoto)Kamishna wa Kikosi hicho Abdalla Malimosi na SACF Simai Haji Simai (wa pili kulia)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Abdalla Malimosi wakati alipotembelea kituo kidogo kinachofayiwa matengenezo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiwa katika ziara maalum leo,(kushoto)
Naibu Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Mohamed Ahmed
Salum,(wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri









0 Comments