Random Posts

SERIKALI WILAYANI TUNDURU YATOA MASAA 48 WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI KATIKA DARAJA LA MUHUWESI WAWEWAMEONDOKA

Daraja la mto wa MUHUWESI ambalo wachimbaji wadogowadogo wanafanya kazi hiyo ya kuchimba madini hali ambayo itapelekea kuhabomoka kwa daraja hilo.

Sehemu ambayo wachimbaji hawa wanachimba

Baadhi ya wachimbaji(Habari na Ruvuma Tv)

Post a Comment

0 Comments