Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed wakati alipowasili katika
ufunguzi wa msikiti, Masjid Muhammad (S.A.W) huko Fujoni Mzambarauni
Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa kaskazini Unguja leo,uliojengwa kwa
usimamizi wa Bw,Yakoub Othman mwakilishi wa Kampuni ya Al-Buwardy
Tanzania,
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Msimamizi wa Ujenzi
wa msikiti, Masjid Muhammad (S.A.W) Bw,Yakoub Othman wakati alipowasili
katika ufunguzi wa Msikiti huo uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy
huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa kaskazini Unguja
leo,
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia
kuashiria ufunguzi wa Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa
na Kampuni ya Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B"
Mkoa wa kaskazini Unguja leo (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar pia Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Mhe,Balozi Seif Ali Iddi,
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe fkama ni ishara ya ufunguzi
wa Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya
Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo chini ya usimamizi wa Bw,Yakoub Othman (hayupo pichani) pia wakiwepo (kulia} Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai Mwinyi Mohamed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman (kushoto),
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
Sheikh Otman Maalim alipokuwa akitoa mawaidha baada ya ufunguzi wa Msikiti
Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko
Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo,ambapo umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati waliokaa),
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Fujoni Mzambarauni na Vijiji jirani wakiwa ndani ya Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambao umejengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya Al-Buwardy,chini ya Usimamizi wa Bw,Yakoub Othman mwakilishi wa kampuni hiyo ,
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
Sheikh Abdulkadir Imamu wa Masjid Maamur
kutoka Dar es Salaam (mbele) akiwaongoza Waumini wa Dini ya Kiislamu
katika Swala ya Ijumaa baada ya Msikiti Masjid Muhammad (S.A.W) huko
Fujoni Mzambarauni uliofuguliwa rasmi leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) ambao umejengwa kwa ufadhili Kampuni ya Al-Buwardy,chini ya Usimamizi wa Bw,Yakoub Othman mwakilishi wa kampuni hapa Nchini,
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa nasaha zake kwa
Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya swala ya Ijumaa leo alipoufungua Msikiti
Masjid Muhammad (S.A.W) uliojengwa na Kampuni ya Al-Buwardy huko
Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa kaskazini
Unguja,uliojengwa chini ya usimamizi wa Bw,Yakoub Othman (hayupo pichani) kwa ufadhili Kampuni ya Al-Buwardy,
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bw.Samir
Ayoub miongoni mwa familia ya Msimamizi wa Ujenzi wa msikiti, Masjid
Muhammad (S.A.W) Bw,Yakoub Othman wakati
alipowasili katika ufunguzi wa Msikiti huo uliojengwa na Kampuni ya
Al-Buwardy huko Fujoni Mzambarauni Wilaya ya Kaskazini B" Mkoa wa
kaskazini Unguja leo,
[Picha na Ikulu.] 30/12/2016.









0 Comments