Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw.
Charles Mwijage akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya kwanza
ya Viwanda vya Tanzania katika viwanja
vya Mwalimu Nyerere Sabasaba leo Jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo
yataliyoanza tarehe 07 Desemba na yanayotarajiwa kuhitimishwa Desemba 11 HUKU
Kauli mbiu yake ikiwa “Tanzania Tunajenga Viwanda.”
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya
Biashara Tanzania (TanTrade) Bw. Edwin Rutageruka akisisitiza jambo wakati wa
hafla ya ufunguzi wa maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba
leo Jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yataliyoanza tarehe 07 Desemba na
yanayotarajiwa kuhitimishwa Desemba 11 HUKU Kauli mbiu yake ikiwa “Tanzania
Tunajenga Viwanda.”
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw.
Charles Mwijage akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi
ya Maonesho hayoViwanda vya Tanzania mara baada ya kufungua rasmi maonesho hayo
leo Jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yataliyoanza tarehe 07 Desemba na
yanayotarajiwa kuhitimishwa Desemba 11 HUKU Kauli mbiu yake ikiwa “Tanzania
Tunajenga Viwanda.”Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Aldoph Mkenda.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw.
Charles Mwijage akimsikiliza Meneja
Utawala wa Kiwanda cha Mafuta ya Pamba cha Kahama Oil Mills Bw. Bryason Edward
wakati wa maonesho ya viwanda vya Tanzania leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Charles Mwijage akiteta jambo na msaanii wa Kundi la Mizengwe
alipotembelea mmoja ya banda katika maonesho ya Viwanda leo Jijini Dar es
Salaam.
Picha
zote na: Frank Shija – MAELEZO.
0 Comments