Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimtwisha ndoo ya maji bibi Agness Silima
ikiwa ni ishara ya kuzindua mradi wa maji wa kijiji cha Onderet wilayani
Arusha Desemba 17, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga ngoma ya msanja iliyokuwa ikichezwa
na wnanwake wa Arusha baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Ondenderet
wilayani Arusha Desemba 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya wanawake wa kimasai
baada ya kuzindua mradi wa maji wa kijiji cha Ondenderet wilayani Arusha
Desemba 27, 2016. kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua mradi wa maji wa kijiji cha Ondenderet wilayani Arusha Desemba 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa eneo la
Kwamrombo wilayani Arusha ambao walijipanga kwa wingi barabarani na
kumshawishi kusimama ili kuzungumza nao. Alikuwa katika ziara ya mkoa
wa Arusha Desemba 27, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kizungumza na wananchi wa kijiji cha
Ormapinu wilayani Arusha ambao wlijipanga kwa wingi barabarani na
kumshawishi kusismama ili kuwasikiliza. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa
Arusha Desemba 27, 2016.







0 Comments