Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon
Sirro akionyeshaa magari yaliyokuwa yameibiwa katika sehemu mbalimbali ya jiji
la Dar es Salaam leo.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon
Sirro akionyesha mitambo ya kutengenezea Gongo jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon
Sirro akionesha mkasi wa kuvunja.
Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon
Sirro akionyesha kadi bandia za chanjo ya homa ya manjano zilizo kamatwa maeneo
ya Hospital ya Mnazi mmoja jiji Dar es Salaam.
Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon
Sirro akionyesha silaha aina ya SHORTGUN PUMP ACTON iliyo kutwa nyumbani kwa
mtuhumiwa huko Boko njiapanda leo jijini Dar es Salaam.
Kamishina
wa Polisi wa kanda maalm ya Dar es Salaam CP Saimon Sirro akizugumza na
waandishi wa habari juu ya Jeshi la polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limekamata
magari matano ambayo yanasadikiwa kuwa yaliibiwa katika vipindi tofauti katika
maeneo mblimbali jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel massaka,Globu ya jamii.
..................................................................
Jeshi la
polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limekamata magari matano ambayo
yanasadikiwa kuwa yaliibiwa katika vipindi tofauti katika maeneo mblimbali
jijini Dar es Salaam.
Akizungumza
na waandishi wa habari Kamishina wa Polisi wa kanda maalm ya Dar es Salaam CP
Saimon Sirro amesema kuwa mnamo Januari 22 mwaka huu jeshi la polisi lilikata
gari aina ya Toyota karina lenye namba za usajili T950 DFN baada ya msako wa jeshi hilo katika maeneo ya Bandari jijini
Dar es salaam.
‘’Gari
jingine ambalo tumelikamata Toyota landcruseir Prado lenye namba zasajili
T.959DFTgari hili katika uchunguzi wetu liliibiwa September 16 mwaka jana nabadaye
kuonekana maeneo ya Mwanza januar 21 Mwakahuu’’Alisema Kamishina Simon Sirro.
Kamishna Sirro
amesema kuwa jeshi hilo pia limewakamata watuhumiwa kwa wizi pikipiki katika
maeneo mbalimbali ya jijini Dar es
salaam na pwani pamoja na mkoa wa morogoro baada ya operesheni iliyofanywa na
jeshi hilo .
Amesema kuwa
jeshi hilo limewakata vinara saba wa utengenezaji wa kadi bandia za chanjo ya
hona za manjano ambapo huziuza kwa watu wanaofika katika hospitali ya mnazi moja
kwaajili yakupata huduma za matibabu kabla yakusafiri nje ya nchi.
‘’Baadhi
yawatuhumiwa waliokamatwa nipamoja na Aisha Hassani(29)mkazi
wavingunguti,Yakobo Msenga (42)mkazi wa chanika
,Oliver Bwegege mhamasishaji (58)mkazi wa kigogo’’Ameongeza Sirro.






0 Comments