![]() |
Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar, leo
|
![]() |
Wananchi wakipokea kwa furaha salama za Kinaa na Mpogolo walipowasalimia wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo
|
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akisalimia wananchi baada a kutambulishwa na Kinana kwenyeuzinduzi wa kampeni hizo leo mjini Zanzibar |
![]() |
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar, Vuai Ali Vuai akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo leo mjini Zanzibar
|
![]() |
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Ali Seif Idi, akizungumza na wananchi baada ya kukaribishwa a Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo,jibola Dimani Zanzibar, leo
|
![]() |
| Katibu wa NEC,Itkadina ueneziHumphrey Polepole akisalimia wananchi baada ya kukariishwa a Kinana kwenyeuzinduzi wa kampenihizo, jimbola Dmani Zanzibar leo |
![]() |
Polepole akionyesha furaha yake wakati akiwaslaimiawananchi baada ya kukaribishwa na Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo katika jimbo la Dimani, Zanzibar, leo
|
![]() |
Plepole akizungumza baada ya kukaribishwa na Kinana kwenye uzinduzi wa kampeni hizo jimbo laDimani leo.
|
![]() |
Wananchi wakiwa na mabango kuonyesha walivyojitokeza katika uzinduzi wa kampeni hizoleo. (PICHA NA BASHIR NKOROMO). KUONA PICHA ZAIDI NA HABARI, TAFADHALI/>BOFYA HAPA
|













0 Comments