Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa mara alipowasili katika Viwanja vya Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo kukizindua rasmi,ikiwa
ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub
Mohamed Mahmoud.
[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(k
atikati) na Meneja Uzalishaji
AZAM DAIRY PRODUCTS LTD ADILSON FAGUNDES
waki
fuatana wakati alipotembelea sehemu za uzalishaji wa maziwa katika
Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo baada ya kukizindua rasmi,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia)
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Salum Mohamed na (kulia) ni Afisa kiwandani hapo,
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Maziwa cha (Azam
Dairy Products Ltd.) wakiendelea na shuhuli zao za kuhakikisha maziwa
yanapangwa vizuri katika sehemu zinazohusika wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipotembelea baada ya kukizindua kiwanda hicho leo huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa
Meneja Uzalishaji katika Kiwanda cha Maziwa cha AZAM DAIRY PRODUCTS LTD
ADILSON FAGUNDES (kushoto) wakati alipotembelea Kiwanda hicho huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja kuona harakati za uzalishaji baada ya kukizindua leo,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa
Meneja Uzalishaji katika Kiwanda cha Maziwa cha AZAM DAIRY PRODUCTS LTD
ADILSON FAGUNDES (kushoto) wakati alipotembelea Kiwanda hicho huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja kuona harakati za uzalishaji baada ya kukizindua leo,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Maziwa cha (Azam
Dairy Products Ltd.) wakiendelea na shuhuli zao za kuhakikisha maziwa
yanapangwa vizuri katika maboksi katika hatua za mwisho kuelekea
sokoni,wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipotembelea
baada ya kukizindua kiwanda hicho leo huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi "A" Unguja,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa wakikata utepe kuashiria Uzinduzi
wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.)
huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja, ikiwa ni katika shamra
shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,(kushoto) .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria Uzinduzi
wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.)
huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja, ikiwa ni katika shamra
shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,(kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim
Bakhresa.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi na Viongozi wengine waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam DairyProducts Ltd.)
huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja,wakishuhudia na kusikiliza
maelezo yaliyotolewa kuhusu Kiwanda hicho,ikiwa ni katika shamra shamra
za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.)
huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja,wakishuhudia na kusikiliza
maelezo yaliyotolewa kuhusu Kiwanda hicho,ikiwa ni katika shamra shamra
za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Baadhi ya wananchi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa Maziwa (Azam Dairy Products Ltd.)
huko Fumba wilaya ya Magharibi "A" Unguja,wakishuhudia na kusikiliza
maelezo yaliyotolewa kuhusu Kiwanda hicho,ikiwa ni katika shamra shamra
za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Mwakilishi wa Kampuni ya Azam Diary Bw.Salim Aziz
akitoa maelezo kuhusu mradi wa uzalishaji wa maziwa katika uzinduzi wa
Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) leo
huko Fumba Kororo wilaya ya Magharibi A" Unguja,katika shamra shamra za
maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,

0 Comments