Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limewataka wadau wa
mpira wa miguu nchini wapuuze taarifa za kwenye mitandao kuhusu mchezaji
Venance Ludovick.
Suala la mchezaji huyo linaendelea kufanyiwa kazi na Kamati ya
Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji. Tunawahakikishia umma wa wapenda
soka nchini kuwa haki itatendeka kwa mujibu wa kanuni zinazoendesha
mashindano husika.
..………….……….………………………………………………………
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

0 Comments