Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan
akimueleza jambo Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli Ikulu Leo Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akimkaribisha Mke wa Rais wa Uturuki
Mama Emine Erdogan Ofisini Kwake Leo Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakifurahi na
kinamama waliowalaki wakati anawasilini ofisini kwa Mke wa Rais Mama Janeth
Magufuli.
Mke wa Rais wa Uturuki Mama
Emine Erdogan baada ya kusaini kitabu cha wageni Ofisini Mke wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mke wa Rais wa Uturuki
Mama Emine Erdogan.
Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan
akiongea na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
ambapo amemuahidi kuendelea kushirikiana katika kuwasaidia watoto na wanawake.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli akimshukuru Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan kwa
kufanya ziara nchini pamoja na makubaliano ya kushirikiana katika kuiendeleza
jamii leo Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine
Erdogan leo Jijini Dar es Salaam.
Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa
Uturuki Mama Emine Erdogan wakikata utepe kuzindua jingo la zamani la King
George’s V lililopo katika Jengo la makumbusho ya taifa jijini Dar es Salaam
lililokarabatiwa na Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA).
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakitembelea
maeneo mbalimbali ya historia ndani ya Jengo la makumbusho ya taifa jijini Dar
es Salaam
Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan
akiongea na wageni alipotembelea ofisi za Shirika la Maendeleo la Uturuki
(TIKA) zilizopo Masaki Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli akimshukuru Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan
baada ya kumkabidhi viti maalum kwa ajili ya kuwasaidia watu
wasiojiweza(WHEELCHAIR).
Mke wa Rais wa Uturuki Mama
Emine Erdogan akikabidhi Mashine za kupumulia na kukua kwa watoto walizaliwa
kabla ya muda (Njiti) Katikati ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Janeth Magufuli na kulia
ni Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof. Lawrence Museru,
Katika Ofisi za Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA).
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakikata
utepe kufungua Ofisi za Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) zilizopo Masaki
Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli na Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan wakiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi za Shirika la Maendeleo la
Uturuki (TIKA) zilizopo Masaki Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais wa Uturuki Mama
Emine Erdogan akiwa amekaa katika kiti cha kabila la kigogo alipotembelea
katika kijiji cha Makumbusho Kijitonyama Jijini Dar es salaam.
Mke wa Rais wa Uturuki Mama
Emine Erdogan akitoka katika moja ya nyumba ya kabila la kigogo alipotembelea
katika kijiji cha Makumbusho Kijitonyama Jijini Dar es salaam.
PICHA NA HASSAN
SILAYO-MAELEZO.




















0 Comments