Afisa Uhusiano wa Manispaa ya Ilala Bi Tabu
Shaibu akizungumza wakati wa mkutano wa waandaishi wa Habari Leo Jijini Dar es
salaam kuhusu umuhimu wa wananchi kulipa kodi ya mabango ili kuchochea maendeleo katika manispaa hiyo.
Kushoto ni Mkuu wa Sehemu ya Usalama barabarani na mabango Manispaa ya Ilala
Bw. James Batinagwa.
Afisa Uhusiano wa Manisapaa ya Ilala Bi Tabu
Shaibu akifafanua kwa waandishi wa Habari Leo Jijini Dar es salaam kuhusu mikakati
ya manispaa hiyo katika kuwaletea wananchi maendeleo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi
Idara ya Habari MAELEZO bi Zamaradi Kawawa.
Mkuu wa Sehemu ya Usalama barabarani na mabango
Manispaa ya Ilala Bw. James Batinagwa (kushoto)akisisitiza kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) umuhimu wa kutii sheria bia shuruti kwa kulipa kodi ya
mabango kwa mujibu wa sheria na kanuni.katikati ni Afisa Uhusiano wa Manispaa
hiyo Bi Tabu Shaibu na kulia ni Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari
MAELEZO bi Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya waandishi
wa Habari wakifuatilia mkutano wa manispaa ya Ilala na waandishi wa habari leo
Jijini Dar es salaam ulioenga kueleza mikakati ya Manispaa hiyo katika
kuwaletea wananchi maendeleo.
(Picha na Frank
Mvungi-Maelezo)




0 Comments