Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mkewe wakipokea
mashada ya maua kutoka kwa watoto walipowasili Ikulu jijini Dar es
salaam leo Januari 23, 2017 kwa mapokezi rasmi na mazungumzo na
mwenyeji wao Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiwalaki Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep
Tayyip Erdogan na mkewe Emine Erdogan walipowasili Ikulu jijini Dar es
salaam leo Januari 23, 2017 kwa mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan wakipiga ngoma
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakiwazawadia Kinyago cha Umoja na Mchoro wa Mlima
Kilimanjaro Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na
mkewe Emine Erdogan walipowasili Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari
23, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na mke Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mama
Emine Erdogan wakipeana mikono baada ya maongezi Ikulu jijini Dar es
salaam leo Januari 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan akiongea baada ya
yeye na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli ushuhudia uwekaji saini mikataba
mbalimbali ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na Uturuki Ikulu
jijini Dar es salaam leo Januari 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na akiongea katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es salaam leo Januari 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan akiongea
katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa
BoT jijini Dar es salaam leo Januari 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan akiongea na
mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli katika kongamano la
wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa BoT jijini Dar es
salaam leo Januari 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Uturuki Mhe Recep Tayyip Erdogan na mwenyeji
wake Rais Dkt John Pombe Magufuli wakishuhudia ubadilishanaji hati
baada ya kusaini baina ya mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa sekta binafsi
Dkt Reginald Mengi na kiongozi wa msafara wa wafanyabiashara wa Uturuki
katika kongamano la wawekezaji wa Tanzania na Uturuki katika ukumbi wa
BoT jijini Dar es salaam leo Januari 23, 2017
PICHA NA IKU












0 Comments