Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Bi Rahma Ali Khamis kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ,katika
hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjin Unguja.
[Picha na Ikulu.] 23/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Mjumbe wa Baraza la
Mapinduzi (BLM) na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum,katika hafla
iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.] 23/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Bi,Zainab Omar Mohamed kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya
Jamii Wazee Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo Ikulu
Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.] 23/01/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimuapisha Dk.Mauwa Abeid Daftari kuwa Msahauri wa Rais -Pemba
katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjin Unguja.
[Picha na Ikulu.]
23/01/2017.

0 Comments