Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo (pichani) katika Jengo jipya la
Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina Rasmi la Mwalimu Julius Nyerere,
Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo
na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kutangazwa rasmi kwa Jina la
Mwalimu Julius Nyerere katika kituo hicho cha Amani na Usalama.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na viongozi wa mataifa mabalimbali wakiwa katika
picha ya pamoja katika jengo jipya la kituo cha Amani na Usalama (JULIUS NYERERE) lililopo
katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa nchini Ethiopia.
PICHA
NA IKULU





0 Comments