Naibu
Mkurugenzi wa Habari wa CUF, Abdull Kambaya (kulia) akizungumza na
waandishi wa habari katika ofisi ya chama hicho zilizopo buguruni jijini Dar es Salaam wakati akitoa shukrani kwa Watanzania
waliokipigia kura Chama cha Wananchi (CUF),katika uchaguzi mdogo wa marudio ya udiwani
uliomalizika Januari 22 mwaka huu (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi Taifa wa CUF, Mneke Jafar.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi
ya wanachama wa CUF waliohudhuria mkuatano huo.





0 Comments