Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein ( katikati) na Mwakilishi wa Benki ya Dunia Bibi.Elizabe
Ann Talbert (kulia) wakifungua pazia kuashiria Uwekaji wa jiwe la Msingi
jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar huko Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi leo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake baada ya kuliweka jiwe la
msingi jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,
Mkandarasi wa Ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar Nd,Edwin Shitindi kutoka alipokuwa akitoa maelezo ya Kitaalam kwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupi pichani) baada ya kuliweka jiwe la msingi jengo hilo leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la
Msingi Ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa
Zanzibar,uliowekwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein huko Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein ( wa pili kulia) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe,
Balozi Seif Ali Iddi wakati alipowasili Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi
kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu
wa Zanzibar leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Fedha na Mipamgo
Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania
Bara Dkt.Ashatu Kijaji,mara alipowasili Mazizini Mkoa wa Mjini
Magharibi kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo jipya la Ofisi ya
Mtakwimu Mkuu wa Zanzibar leo, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Waziri wa Fedha na
Mipamgo Zanzibar Dkt.Khalid Salum Mohamed,
[Picha na Ikulu.] 06/01/2017.






0 Comments