Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ameongozana na mkuu wa
mkoa wa Ruvama Mhandisi Mahenge pamoja na viongozi mbalimbali walipokuwa
wanatemmbelea mgodi wa Ngaka.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia shughuli za uchimbaji
wa makaa ya mawe unavyo fanywa na kampuni ya Tancoul katika mgodi wa Ngaka uliopo
wilayani Mbinga kushoto ni Mwenyekiti wa
Bodi ya Shirika la maendeleo la taifa NDC Dr Samuel Nyantahe.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi mkuu
wa shirika la maendeleo la taifa (NDC) Mlingi Mkucha wakati alipotembelea mgodi
wa makaa ya mawe wa Ngaka unaomilikiwa na kampuni ya Tancoul uliopo wilayani
Mbinga kushoto kwa waziri mkuu ni
Mwenyekiti wa bodi ya NDC Dr Samuel Nyantahe.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na mkurugenzi
mtendaji wa kampuni ya Tancoul Bwana Mark McAnderew wakati alipotembelea mgodi wa makaa ya mawe Ngaka unaomilikiwa na kampuni ya Tancoul uliopo wilayani Mbinga kushoto kwa waziri mkuu ni Mwenyekiti wa bodi
ya NDC Dr Samuel Nyantahe.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ofisa Rasilimali
watu wa kampuni ya Tancoul Ms Pendo
Mweli wakati alipotembelea mgodi wa makaa ya mawe unaomilikiwa na kampuni ya
Tancoul uliopo Ngaka wilayani Mbinga
Mkoani Ruvuma.
Picha na Chris Mfinanga






0 Comments