Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiongoza
Matembezi ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria nchini leo.Kushoto ni Kaimu Jaji Mkuu
wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na
Sheria Prof.Sifuni Mchome.
Jaji
Mfawidhi wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi Mhe. Aisha Nyerere akionesha bango
kabla ya kanza kwa matembezi ya Uzinduzi wa wiki ya Sheria Nchini leo jijini
Dar es Salaam.
Baadhi
ya Watumishi wa Mahakamawakiwakwenye Matembezi hayo.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi akizungmza wakati wa Uzinduzi
wa Wiki ya Sheria nchini leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam .
Kaimu
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma akiwa katika picha ya pamoja na Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya
Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali kabla ya kuanza kwa matembezi ya zinduzi wa
wiki ya Sheria leo jijini dar es salaam.
PICHA ZOTE NA LYDIA CHURI-MAHAKAMA






0 Comments