Mkurugenzi
wa uzalishaji vipindi kutoka Africa Media Group Limited Bw. Hamid Abdulhaman
akielezea changamoto mbalimbali wanazozipata katika uendeshaji wa vituo vilivyo
chini ya kampuni hiyo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye wakati Waziri huyo alipofanya ziara katika Kampuni hiyo
inayomiliki vituo vya Channel ten na Magic FM January 20, 2017.
|
0 Comments