Random Posts

StaminaXDarassaXVivaconsciousXBecka TittleXKing KapitaXJames Cuca


Baada ya kimya cha muda kutoka studio Za Grandmaster Records,tuna furaha kubwa kuwafahamisha kwamba familia nzima imerudi kazini,tukiwa tumeboresha huduma zetu na ladha Zaidi katika kazi zetu,deni kubwa lililokuwepo ni kuendeleza mtiririko wa ile mixtape ya kihistoria ambayo
safari yake tuliianza na Life Goes On https://www.youtube.com/watch?v=_szJjwDmkUk ,kwa fans na supporters wetu tunashukuru sana kwa kuwa na sisi mpaka tulipofika,heshima kubwa kwa blogs,websites na media zote zinazoendelea kusupport good music,we owe you guys everything that we are,tunaomba mpokee zawadi hii kama mwanzo wa kuendeleza pale tulipoishia

Kudownload/kusikiliza "Mchezo bado Simple" - Vivaconscious,Stamina,Becka Tittle,Darassa,King Kapita,James Cuca bofya hapa: https://mkito.com/song/15225

Post a Comment

0 Comments