Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za
Busara,Yusuph Mahmoud (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika Hotel
ya Golden Tulip ilioko maeneo ya posta mpya jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na maandalizi ya tamasha la Sauti za Busara linalotarajia kufanyika Februari 9 -12 katika Ukumbi wa Mji Mkongwe Mjini Zanzibar (katika), Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Sauti za Busara, Simai Said (kulia) ni Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne – Marie Kaarstad.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Sauti za
Busara, Simai Said (katika) akifafanua kuhusiana na Tamasha la Sauti za Busara linalotarajia
kufanyika Februari 9 -12 katika Ukumbi wa Mji Mkongwe Mjini Zanzibar.
Ambapo amesema tamasha limekuwa likitangaza Tanzania pamoja
na kuwaweka Waafrika sehemu moja.
“Sauti za Busara limebakiza siku chache
kufanyika pale Mji Mkongwe, Zanzibar 9-12/Februari kwa mara ya kwanza tangu
kuanza kwa tamasha la Sauti za Busara lenye kauli mbiu ya ‘AfricaUnited’ mwaka
huu tamasha litakua na majukwaa matatu yatakayotumiwa na wasanii wote
kimataifa/nyumbani”amesema Simai,( kulia ) Balozi wa Norway nchini Tanzania,
Hanne – Marie Kaarstad, na kushoto Mkurugenzi wa tamasha la Sauti za
Busara,Yusuph Mahmoud,
Mkutano ukiendelea
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo
Wadau wakifuatilia kwa makini maandalizi ya tamasha hilo.
Viongozi wa tamasha hilo wakijadiliana jambo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Busara Promotions ambaye pia
ni Mkurugenzi wa Tamasha la Sauti za Busara, Yusuf Mahmoud ‘DJ Yusuf’ akionesha
kitabu chenye progamu ya tamasha hilo kwa mwaka huu wa 2017 kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo Jijini Dar es Salaam.

0 Comments