Waziri mkuu Kassim Majaliwa jana aliwasili mkoani Ruvuma na
kupokelewa na Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa , wakuu mbali mbali
waidara , viongozi wa dini na wakazi wa mkoa huo. Tizama mapokezi yake
uwanja wa denge wa mkoa wa ruvuma katika video hii pia tutakuletea
taarifa ya mkoa wa ruvuma pamoja na maagizo ya waziri mkuu aliyoyatoa
katika kikao kilichofanyika ukumbi wa ikulu ndogo ya songea.
0 Comments