Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya majai Bibi
Leonara Kibuno ikiwa ni ishara ya uzinduzi
wa mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi wilaya ya
Songea mradi ambao unauwezo kutoa lita
laki mbili na kuhudumia zaidi ya watu elfu tano katika Halimashauri ya madaba
Songea.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo ya mradi wa
maji kutoka kwa mkurugenzi wa
Halimashauri ya Madaba Bwana Safi Mpenda
Waziri Mkuu ameuzindua mradi huo ambao umejengwa katika kijiji cha Magingi
wilaya ya Songea mradi ambao unauwezo
kutoa lita laki mbili na kuhudumia zaidi ya watu elfu tano.
Waziri mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa
halimashauri ya Madaba.
Picha na Chris Mfinanga




0 Comments