
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye
uwanja wa polisi katika mji wa Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa
Njombe Januari 19, 2017.

Wananchi wa Makambako mkoani Njombe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Polisi
Januari 19, 2017.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa mkoa na wilaya ya
Njombe baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo katika siku ya kwanza ya
ziara yake mkoani humo Januari 19, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Njombe, Christopher Ole Sendeka.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua vibanda vya biashara vya Magegele
vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Mji wa Makambako akiwa katika ziara
ya mkoa wa Njombe Januari 19, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
..........................
0 Comments