Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akisaini kitabu cha wageni
alipohudhuria mahafali ya 20 ya chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ).
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Mkuu wa Chuo cha
Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe alipohudhuria mahafali
ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi na Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa
Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe wakiwaongoza wahitimu katika
maandamano wakati wa mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Mkuu wa Chuo cha
Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe alipohudhuria mahafali
ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
Baadhi
ya wahitimu wakiwa katika mahafali hayo
Mkuu
wa Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe akiongea
wakati wa mahafali ya 20 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) ambapo
mbali na mambo mengine alipongeza jitihada za serikali katika kuhakikisha sekta
ya habari inapata hadhi inayostahili na kuheshimika.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akitangaza mkusanyiko huo kuwa
mahafali ya 20 ya Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) kulia ni Mkuu wa
Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe wakati wa
mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
Mhitimu
katika Chuo cha Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Elias Eliakim akisoma risala
kwa Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan
Abbasi ambapo mbali na mambo mengine aliomba viongozi wa Serikali kuweka
utaratibu wa kutembelea vyuo vya kati vya uandishi wa habari ili kujenga hamasa
kwa wanafunzi.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha
Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) Bw. Augustino Nongwe wakati akitoa hotuba
yake wakati wa mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiongea na wahitimu wa Chuo cha
Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) ambapo alisisitiza umuhimu wa wanatasnia ya
habari kuwa watendaji na sio waongeaji bila vitendo ikiwa ni moja ya mkakati wa
kuikuza tasnia hii na kuendana na Sheria mpya ya Huduma za Habari wakati wa
mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi akiwapa vyeti vya uhitimu wa
Diploma na cheti katika uandishi wa habari waliokuwa wanafunzi wa Chuo cha
Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ)
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi
akiwa katika picha ya pamoja wahitimu,wafanyakazi wa Chuo cha Uandishi wa
Habari Morogoro (MSJ) wakati wa mahafali ya 20 ya chuo leo Mjini Morogoro.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

















0 Comments