Random Posts

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA APELEKA NEEMA SKAUTI TANZANIA

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya wakati wa hafla ya chakula cha hisani kwa ajili ya kuchangia Chama cha Skauti Tanzania ili wafanyikishe maadhimisho ya miaka 100 ya Skauti nchi hafla iliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam.Katikati ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde (kulia). Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha hisani kwa ajili ya kuchangia Chama cha Skauti Tanzania ili wafanyikishe maadhimisho ya miaka 100 ya Skauti pamoja na siku ya Skauti Afrika jana Jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhandisi Stella Manyanya. Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akiteta jambo na Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania Abdulkarim  Shaha pamoja na Mwakilishi wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi Tanzania (ERB) wakati wa hafla ya Chakula cha hisani kwa ajili ya kuchangia Chama cha Skauti Tanzania ili Kifanyikishe maadhimisho ya miaka 100 ya Skauti pamoja na siku ya Skauti Afrika hafla hiyo imefanyika jana Jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi.

 Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajikli ya kuwezesha Skauti Tanzania kufanikisha maadhimisho ya miaka 100 ya Skauti nchini na Siku ya Skauti Afrika wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea katika hafla hiyo jana Jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi.


  Baadhi ya wawakilishi kutoka Taasisi, na wadau mbalimbali wakitoa ahadi zao ili kuiwezesha Skauti Tanzania kufanikisha maadhimisho ya miaka 100 ya uwepo wake hapa nchini sambamba na Siku ya Skauti Afrika katika hafla ya Chakula cha Hisani jana Jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi.
 Msanii wa sanaa ya Uchoraji Masoud Kipanya akichora picha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa lengo la kuchangia Skauti Tanzania ili wafanikishe maadhimisho ya miaka 100 ya uwepo wake hapa nchini katika hafla iliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi.
 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akielezea sababu za kununua picha ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambayo imechorwa na msanii Masoud Kipanya kama mchango wake kwa Chama cha Skauti Tanzania iliwafanyikishe maadhimisho ya miaka 100 ya Skauti nchini katika hafla ya Chakula cha Hisani jana Jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi. Kulia ni Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania Abdulkarim  Shaha.
 Msanii wa sana ya Uchoraji Masoud Kipanya akielezea jambo baada ya picha aliyoichora ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kununuliwa jana Jijini Dar es Salaam. Msanii huyo alitoa asilimia yote ya mapato kutokana na picha hiyo kwa ajili ya kuisaidia Skauti Tanzania.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarishi akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji Taifa ya Chama cha Skauti Tanzania Balozi Nicholaus Kuhanga wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa lengo la kuchangia Skauti Tanzania ili wafanikishe maadhimisho ya miaka 100 ya uwepo wake hapa nchini katika hafla iliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Skauti Tanzania pamoja na Kamati ya Maandalizi ya hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia chama hicho ili kifanyikishe maadhimisho ya miaka 100 ya Skauti nchi hafla iliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi milioni 600 zinahitajika ambapo katika hafla hiyo jumla ya shilingi milioni 265 zilipatikana ikiwa ni fedha taslimu na ahadi.


Picha na Frank Shija – MAELEZO.

Post a Comment

0 Comments