Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali
(pichani) Rais akipeana mkono na Mhe,Balozi Emmanuel John Nchimbi
atakayekwenda nchini Brazil,
[Picha na Ikulu,] 10/02/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali
Duniani .
[Picha na Ikulu,] 10/02/2017.

0 Comments