Random Posts

MANJI NA GWAJIMA BADO WAENDELEA KUSOTA LUPANGO

Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
..

Ambapo amesma  bado wanamshikilia mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji pamoja Askofu wa kanisa la Ufunuo na Uzima, Josephat Gwajima kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya Dawa za kulevya amesema atatoa taarifa Jumatatu kueleza nini kinaendelea kuhusu watuhumiwa hao.

Post a Comment

0 Comments