Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa wakiwa na baadhi ya watoto wenye ulemavu wa ngozi walioalikwa
kwenye hafla katika kituo cha wazee na watu walemavu watokanao na
ugonjwa wa ukoma cha Amani Ipuli katika Manispaa ya Tabora mkoani Tabora
leo Februari 15, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza na wananchi na
wazee wasiojiweza wanaolelewa katika kituo cha wazee na watu walemavu
watokanao na ugonjwa wa ukoma cha Amani Ipuli katika Manispaa ya Tabora
mkoani Tabora leo Februari 15, 2017
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa akisalimia wananchi na
wazee wasiojiweza wanaolelewa katika kituo cha wazee na watu walemavu
watokanao na ugonjwa wa ukoma cha Amani Ipuli katika Manispaa ya Tabora
mkoani Tabora leo Februari 15, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu Mama
Mary Majaliwa wakiongea kwa furaha na wazee wasiojiweza wanaolelewa
katika kituo cha wazee na watu walemavu watokanao na ugonjwa wa ukoma
cha Amani Ipuli katika Manispaa ya Tabora mkoani Tabora leo Februari 15,
2017
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa pamoja na meza kuu wakipata picha ya kumbukumbu na vijana na
watoto wenye ulemavu wa ngozi waliokaribishwa kwenye hafla katika kituo
cha wazee na watu walemavu watokanao na ugonjwa wa ukoma cha Amani Ipuli
katika Manispaa ya Tabora mkoani Tabora leo Februari 15, 2017
No comments:
Post a Comment