Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyesimama mbele) akiongea na Wageni waalikwa pamoja na Waandishi
wa habari wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa kiwanja cha
Baseball nchini kati ya Serikali ya Tanzania na Japan leo 15 Februari, 2017
Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Masaharu
Yoshida (aliyesimama mbele kulia) akiongea na Wageni waalikwa pamoja na
Waandishi wa habari wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa
kiwanja cha Baseball nchini kati ya Serikali ya Tanzania na Japan leo 15
Februari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Baseball Tanzania (TaBSA), Dkt. Ahmed Makata (aliyekaa kushoto mbele) akisaini Mkataba wa Ujenzi wa Uwanja wa Baseball, kulia ni Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida.Wanaoshuhudia nyuma ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye pamoja na Mjumbe toka Japan.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyesimama
nyuma) akipongeza wakati ubadilishanaji wa Mkataba kati ya Serikali ya
Tanzania na Japan leo 15 Februari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati
waliokaa wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan, Mhe.
Masaharu Yoshida pamoja na viongozi wengine mara baada ya hafla ya utiaji
saini Mkataba wa Ujenzi wa kiwanja cha Baseball nchini kati ya Serikali
ya Tanzania na Japan leo 15 Februari, 2017 Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment