Akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Denmark nchini Hon Einar Jensen Balozi wa Denmark airidhishwa na hatua za serikali kupeleka Umeme vijijini, ujenzi wa Barabara vijijini , ujenzi wa meli 3 Bandari YA Itungi na uwanja wa kimataifa wa Ndege Singwe Balozi asema jitihada hizo zitachochea Ukuaji wa uchumi, uhakika wa wakulima kuyafikia masoko , Nishati YA Umeme itasaidia uongezaji thamani YA Mazao Kupitia mradi wa Kuwasaidia wakulima kuzalisha mazao YA biashara na uongezaji thamani Mradi wa PASS unafadhiliwa na Denmark umesaidia mikopo nafuu sh Bilioni 15 kwenye miradi 320 kwa Mikoa YA Nyanda za juu kusini
Mkuu wa Mkoa ameshukuru balozi kwa kumtembelea na misaada mingi wanayotoa kwa Tanzania Aidha amemhakikishia ushirikiano na ameeleza mara miradi YA Umeme vijijini, uwanja wa Ndege Songwe, Barabara vijijini na ujenzi wa meli 3 itakapokamilika Mkoa wa Mbeya utapiga hatua kubwa kimaendeleo




0 Comments