Random Posts

MKUU WA MKOA WA MBEYA AMALIZA MGOGORO WA MPAKA WA KIJIJI CHA KAPUNGA NA UKWAVILA-MBARALI

Ni Mgogoro uliodumu kwa miaka 10 na kuzua misuguano YA viongozi na wananchi.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akisalimiana na viongozi mbalimbali. 
 Ametangaza mpaka mpya baada YA Tume aliyoiunda kukamilisha kazi  . Tume ikishirikisha watalaam wa ardhi, viongozi ,wazee na viongozi wa mila na kutangaza mpaka uliridhiwa na WANANCHI wakubali na kuhaidi kuheshimu mpaka huo na Mkuu wa Mkoa Atoa siku 7 kuweka mawe YA mipaka
Awaonya viongozi wa Vijiji waliogawa ardhi kinyume cha TARATIBU na kuwapatia wenye uwezo na kuwaacha wanyonge hawana Ardhi
Pia ameunda kikosi kazi cha watalaam na vyombo vya dola kuhakiki ugawaji wa Ardhi ktk Vijiji 7 wilayani Mbarali endapo ugawaji wa Ardhi ulizingatia sheria YA Ardhi mwaka 1999

AHAIDI tume ikibaini ugawaji ardhi hakufuata UTARATIBU atairejesha ardhi  yote KWA WANANCHI 

Post a Comment

0 Comments