Tuesday 21 February 2017

MKUU WA MKOA WA MBEYA MHE. AMOS MAKALLA AAGIZA TANESCO KUKIPATIA KITUO CHA AFYA LUPA HUDUMA YA UMEME

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makalla akizungumza katika mkutano huo.
......................................
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla Ashangaa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)  kutokufanya tathimini ya kujua gharama za kufikisha Umeme katika kituoni cha Afya cha Lupa bin.
 Ametoa siku 14 wampatie tathmini ya gharama za kufikisha Umeme kituo cha Afya  cha Afya Lupa bin tegemeo kwa wananchi wa kata zaidi ya 4
 Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF wafadhili upanuzi na ujenzi wa chumba cha upasuaji kwa gharama sh milioni 84.

Aseme kupatikana kwa Umeme itasaidia shughuli za upasuaji
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Amos Makalla akifurahia jambo wakati akizungumza katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment