Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inatarajiwa kuendelea kesho kwa michezo miwili tu.
Michezo ya kesho kwa mujibu wa
Ratiba ya VPL ni kati ya Ndanda FC itakayoikaribisha Mbao FC ya Mwanza
kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara wa kati Kagera Sugar ya
Kagera itakuwa mgeni wa Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine jijini
Mbeya.Mechi nyingine zitachezwa Februari 17, 18 na 19 kwa mujibu wa
Ratiba
..……………………………………………………
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
No comments:
Post a Comment