Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Amadou Hott aliyefika
Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Amadou Hott
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu
wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Amadou Hott mara baada ya
kumaliza mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) nchini Jean Pierre
Tshampanga Mutamba Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi
huyo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) nchini Jean Pierre
Tshampanga Mutamba mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
kumkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti
Mittal aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwanzilishi
na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti Mittal mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bharti Enterrprise, Sunil Bharti Mittal Ikulu
jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU









0 Comments