AHADI YA UADILIFU. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
Dkt. Anna Peter Makakala wakwanza kulia akiwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Rogers William, Balozi Joseph Sokoine, Balozi Omar Yusuph Mzee
pamoja na Balozi Grace Mgovano wakila kiapo cha Ahadi ya Udilifu kwa viongozi
mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter
Makakala Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana
na Dawa za Kulevya Rogers William Sianga Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Joseph Sokoine kuwa Balozi mpya nchini
Ubelgiji, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi mpya nchini
Algeria, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Grace
Mgovano kuwa Balozi nchini Uganda, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kuwaapisha Kamishna Jenerali wa
Uhamiaji, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya,
pamoja na Mabalozi watatu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali
walioapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU









0 Comments