Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni
akiwasili katika Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es
Salaam leo.Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Kampuni za Bakhresa Bw. Salim Aziz.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz akimtambulisha Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kwa wafanyakazi wa alipofanya ziara katika viwanda vya Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni akiangalia
namna Juisi ya Azam inavyotengenezwa alipofanya ziara katika Kiwanda hicho leo
Jijini Dar es Saalam. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Mhe.Charles Mwijage.
Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Museveni(wapili kushoto)
akiulizia jambo wakati wa ziara yake katika viwanda vya Kuzalisha Juisi cha
Azam kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Afisa
Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz, Mkurugenzi wa
Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufiani na Katibu Mkuu wa
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Dkt. Adelhelm Meru.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa wakifurahia ugeni wa Rais wa
Uganda Mhe. Yoweri Museveni(hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika viwanda
vya Kuzalisha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti jijini Dar es Salaam leo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya
Bakhresa Bw. Salim Aziz akimkabidhi
zawadi Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni baada ya kumaliza ziara
katika viwanda vya Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo
Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo
Vingunguti Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni
akifurahia zawadi aliyopewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya
Bakhresa Bw. Salim Aziz (wapili kulia) mara baada ya kumaliza ziara katika viwanda
vya Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa
Food Products kilichopo Buguruni
na Kiwanda cha Juisi cha Azam
kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akifurahia zawadi aliyopewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz (wapili kulia) mara baada ya kumaliza ziara katika viwanda vya Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.
Charles Mwijage akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya
kumalizika kwa Ziara ya Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika
viwanda vya Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa
Food Products kilichopo Buguruni
na Kiwanda cha Juisi cha Azam
kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa
Kundi la Makampuni ya Bakhresa Bw. Salim Aziz.
Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya
Bakhresa akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya kumalizika
kwa Ziara ya Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika viwanda vya
Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa Food
Products kilichopo Buguruni na Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti
Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Uganda Mhe.
Yoweri Kaguta Museveni(mweneye kofia) akiwa katika picha ya pamoja na
menejimenti ya Kundi la Makampuni ya Bakhresa mara baada ya kumaliza ziara
katika Kiwanda cha Kuzalisha Unga wa Ngano Cha Bakhresa Food Products kilichopo Buguruni na
Kiwanda cha Juisi cha Azam kilichopo Vingunguti Jijini Dar es Salaam
leo.
Picha zote na: Frank
Shija – MAELEZO.











0 Comments