Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(aliyesimama) katikati alipokuwa akitangaza mchango wake wa fedha
Shilingi za Kitanzania Millioni Kumi zilizochangwa jana wakati wa hafla
ya chakula cha usiku iliyotayarishwa na Wizara ya Afya katika
ukumbi wa Park Hayatt Hoteli kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya
Makunduchi na Kivunge pamoja na maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa
kuendeleza huduma za Afya Zanzibar (HIPZ).

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa HIPZ RU Mac Donagh wakati alipowasili viwanja vya Park Hayatt Hoteli jana katika hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa na Wizara ya Afya katika
ukumbi wa kwa ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na
Kivunge pamoja na maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza
huduma za Afya Zanzibar (HIPZ).

Baadhi ya Viongozi na Wageni mbali mbali wakiwa katika hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa na Wizara ya Afya ya kuchangia fedha kwa
ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na Kivunge pamoja na
maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza huduma za Afya
Zanzibar,(HIPZ) hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Park Hayatt
Hoteli Mji mkongwe wa Zanzibar.

Mwenyekiti wa Mradi wa kuendeleza huduma za Afya Zanzibar,(HIPZ) RU Mac Donagh alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa jana na Wizara ya Afya kuchangia fedha kwa
ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na Kivunge pamoja na
maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza huduma za Afya
Zanzibar,(HIPZ) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Park Hayatt Hoteli
Mji mkongwe wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya chakula cha usiku iliyotayarishwa jana na Wizara ya Afya kuchangia fedha kwa
ajili ya kusaidia Hospitali ya Makunduchi na Kivunge pamoja na
maadhimisho ya miaka kumi ya Mradi wa kuendeleza huduma za Afya
Zanzibar,(HIPZ) hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Park Hayatt Hoteli
Mji mkongwe wa Zanzibar.
[Picha na Ikulu.] 25/02/2017.
0 Comments