Afanya ziara Wilayani KYELA na mkutano wa
hadhara kata YA NGANA kwa kuongea na
wananchi wa Vijiji na kata zilizopo
mpakani MWA Tanzania na Malawi .
Awaonya wanaosaidia
kuvusha wahamiaji haramu na magendo kupitia Njia za Panya na kuwataka wananchi KUFANYA BIASHARA za mipakani kwa kuzingatia
sheria na taratibu zilizowekwa.
Amesema serikali zote mbili zimeweka MIKAKATI YA kuwasaidia
wananchi wa nchi mbili KUFANYA biashara vizuri
SERIKALI inakamilisha
taratibu za kuanza ujenzi wa kituo cha pamoja cha Forodha( One stop boader
post) KASUMULU ili kuondoa urasimu na kuongeza biashara
Mkoa wa Mbeya
unaandaa tamasha kubwa kwa ajili ya wafanyabiashara wa Tanzania na Malawi
litakalofanyika 30 JUNI, 2017.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala
akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara.




0 Comments