Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Deogratias
Lutatora (Kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Kilimo, Prof. Susan
Nchimbi-Msolla (Wapili Kushoto) wakimuongoza Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe.
Mizengo Pinda (Mwenye tai nyekundu)
kufungua Kongamano la Wadau la SUA. Kushoto kwa Mhe. Pinda ni Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro
Dkt. Kebwe Stephen Kebwe.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Kulia) akiagana na
Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Saidi Mkabakuli (Kushoto) mara baada ya
kutembelea Banda la TADB.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Katikati) akizungumza wakati alipotembelea
Banda TADB.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Kulia) akisalimiana na
wafanyakazi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania waliokuwa wakitoa huduma wakati wa
Kongamano la Wadau la SUA linaloendelea Mkoani Morogoro. Kushoto
ni Afisa Maendeleo ya Biashara Mwandamizi, Bw. George Nyamrunda na Afisa
Mipango na Sera Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Mzee Kilele (Wapili kushoto).
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Kulia) akikaribishwa kutembelea
Banda la TADB na Afisa Mahusiano na Masoko Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Saidi Mkabakuli (Kushoto).
Wadau waliojitokeza kutembelea
Banda la Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakipitia majarida
na vipeperushi vilivyokuwa vikitolewa na wafanyakazi wa Benki hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Katikati waliokaa) akiwa katika
picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Wadau la SUA mara baada ya
kufungua Kongamano hilo. Wengine waliokaa ni
Kushoto kwa Mhe. Pinda ni Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe.
Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA), Prof. Deogratias Lutatora (Kushoto) na
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro
Dkt. Kebwe Stephen Kebwe (Kulia).







0 Comments