Random Posts

BREAKING NEWSSS….WAZIRI NAPE AZUIWA KUFANYA MKUTANO


Waziri Nape amefika na amezuiliwa na watu waliovaa mavazi ya kiraia. Kwa sasa analalamika kwanini wamtolee bastola.

 Nape Nnauye: Mimi sina kinyongo na uamuzi wa Rais. Kama sikumshawishi kunichagua, hata kuniacha ni sawa tu

Post a Comment

0 Comments