Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha
aliyekuwa Mkurugenzi wake wa Fedha na Utawala, marehemu Edgar Masoud.
Edgar Masoud aliyefariki dunia
jana jioni Machi 27, 2017 aliugua ghafla juzi Jumapili akiwa kanisani
kabla ya kukimbizwa Hospitali ya Bochi iliyoko Mbezi kwa Msuguri ambako
alikutwa na mauti akipatiwa matibabu.
Kwa taarifa zaidi, fuata link hapo chini

0 Comments